About Us

ALOYSON ni tokeo la jina la ALOYCE (Jina kamili: ALOYCE MLAWA) ambaye alirithi jina la babu yake aliyeitwa ALOYCE MLAWA. Aloyson amezaliwa tarehe 07 Agosti, 1988 katika hospitali ya Ilembula-Njombe.
Aloyson (Aloyce Mlawa) ni mtoto wa kwanza wa kiume katika familia ya bw. Magnus Aloyce Mlawa na Adelina Esau Kijinga.

ELIMU:

Shule ya msingi Mikongo iliyoko KIFANYA-NJOMBE (1997-2003)

Sekondari ya Kifanya (O-Level 2004-2007)
Mlima Mbeya High School, Ilemi High School (A-Level 2008-2010 Mbeya) HGK
Chuo cha AMUCTA (Bachelor of Arts With Education-BaED. Major subjects: GEOGRAPHY & KISWAHILI)- 2010-2013. Lakini hakuwahi fikiria kuwa mwalimu.
ALOYSON ni jina pekee lililoteuliwa ili kutumika kama jina la jumla katika umiliki wa akaunti za mitandaoni kama
Facebook: ALOYSON
Instagram: AloysonJr
Twitter: AloysonJr
Website: ALOYSON.COM
KUANZISHWA KWA ALOYSON.COM
ALOYSON Dot Com (aloyson.com) ilitambua umuhimu wa teknolojia ya upashanaji habari pamoja na umuhimu wa mitandao ya kijamii katika kuwarahisishia walio karibu na mifumo ya kisasa ya uhitaji wa habari na matukio ya jamii zetu. Mnamo mwaka 2011 mmiliki wa mtandao huu wa ALOYSON(ALOYCE MLAWA) aligundua upweke huu akiwa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kishiriki cha Mt. Agustino cha Tanzania {Archibishop Mihayo University College of Tabora (AMUCTA), a Constituent College of St. Augustine University of Tanzania (SAUT) akisoma Shada ya Elimu, ndipo ilianzisha mchakato wa kuhakikisha matukio na shughuli ambazo hasa vijana wanazifanya zinaonekana na kuwafikia watu wengi kwa uharaka. Hadi sasa mtandao huu umejikita katika kuandika habari msingi za Kijamii kwa upande wa Tanzania nzima na nje ya tanzania.
Kupitia ALOYSON DOT COM unaweza kidhi mambo yafuatayo:
Kutangaza biashara kwa usasa na kuwafikia watu wengi nchini Tanzania
Kupata huduma za kitaalamu za kamera za kisasa na Upigaji picha za kusasa
Kupata huduma ya picha za kisasa za biashara, harusi, mitindo n.k
Utatuzi wa matatizo sugu ya mitandao ya kijamii hasa FACEBOOK PAGES na BLOGS
Huduma ziendanazo na Adobe Photoshop na Graphic Designing
Ushauri wowote unaoendana na hayo yote hapo juu.
Wasiliana moja kwa moja nami kwa: namba: 0755103054 na Email: info@aloyson.com

Comments/ Maoni