General

Amber Lulu Awaachia Udenda; Shilawadu Tour Tabora

By

on

Shilawadu Tour ndani ya mkoa wa Tabora imeletwa na watangazaji wa kipindi cha SHILAWADU wa Clouds Media jana katika maadhimisho ya sikukuu ya Eid, budurdani hii ilisheheni shangwe nyingi akiwemo mwadada ambaye umaarufu wake ulikuja kwa kuonekana katika video nyingi za kibongo kama model na baadaye kutoa ngoma yake ya ‘Watakoma’ akimshirikisha Country Boy.

Baadhi ya mashabiki walinukuliwa katika maoni yao juu ya onesho la mwanadada huyu wakisema wanadada wengi wa kibongo wanafanya sanaa katika mazingira magumu kimaadili na kusahau ubunifu katika kazi hasa katika uvaaji wao wakiwa majukwaani. Udenda huo uliwadondoka wengi ya vijana waliolalamika kuwa kawaacha vibaya na haikufahamika ubaya upi aliowaacha nao mashabiki hasa wakiume.

Yako macho kupitia baadhi ya picha zikionesha kazi aloifanya mwanadada huyu jukwaani katika viwanja vya bwalo la polisi Tabora.

Manadada Amber Lulu akifanya yake jukwaani.

Mwanadada akitia kazi jukwaani hapo usiku wa jana

Amber Lulu akiongea na mashabiki zake

 

 

Akijituma jukwaani

 

 

 

 

 

Picha zote zimepigwa na Aloyson (IG: aloysonjr) kutoka BONGOHOOD STUDIO

Comments/ Maoni

Recommended for you