Gallery

Emmy’s Beauty Photo Retouch by Aloyson

By

on

Mteja wetu yeyote yule anastahili kujua thamani kubwa tunayompa na kuhakikisha tunamfanya mwenye furaha za kuzitizama na kuzitumia kumbukumbu zake za picha. Tunakupa muonekano tofautitofauti ili kukupa kitu upendacho na unachostahili.

PICHANI NI: EMMY ( Mwanachuo wa Chuo Cha Utumishi wa Umma ) Photo and retouch ya @aloysonjr

We turn you into an amazing look.


Mtandao wa aloyson.com ikishirikiana na BONGOHOOD wanakupa wasaha wa mteja wao kufanyiwa au kuchukuliwa kumbukumbu zote muhimu na mahususi kama harusi, send off, birthdays, anniversaries, graduation, biashara, matangazo na matukio mengineyo katika picha mnato na mwendo kwa bei ndogo sana.

WASILIANA NASI: PIGA +255 755 103 054 | INSTAGRAM: @aloysonjr | FACEBOOK: @aloysonjr | TWITTER: @aloysonjr | YOUTUBE: @aloysontv

Comments/ Maoni

Recommended for you