Video

Video: Evance & Jackie Wedding Teaser By BONGOHOOD

By

on

This is digital life era: Katika ulimwengu huu wa kidigitali sote tunalazimika kama sio kuhitaji maisha yanayoendana na usasa huu, itakusaidia ukiwa sebuleni au popote mtandaoni kuwa huru kujitizama katika picha mwendo (video) za kisasa. Hapo ndipo utatuhitaji sisi kukufanyia kazi BONGOHOOD na ALOYSON kukufanyia kazi zako kwa ufasaha.

Hapa chini ni moja ya video ya wanandoa Evance na Jackie wa Arusha waliofunga ndoa yao mnamo tarehe 25 Januari, 2017.


Mtandao wa ALOYSON.COM ikishirikiana na BONGOHOOD wanakupa wasaha wa mteja wao kufanyiwa au kuchukuliwa kumbukumbu zote muhimu na mahususi kama harusi, send off, birthdays, anniversaries, graduation, biashara, matangazo na matukio mengineyo katika picha mnato na mwendo kwa bei ndogo sana.

WASILIANA NASI: PIGA +255 755 103 054 | INSTAGRAM: @aloysonjr | FACEBOOK: @aloysonjr | TWITTER: @aloysonjr | YOUTUBE: @aloysontv

Comments/ Maoni

Recommended for you