Video

Gospel Video: KISA CHA YESU By Global Mission Singers.

By

on

Muongozaji na mzalishaji wa picha mwendo (Video Producer and Director) ndg Milos wa Blueprint Media Production anatusogezea upako wa kiinjili ulioimbwa na Global Mission Singers wakituletea kibao kizuri kiitwacho KISA CHA YESU, nakusihii kumkumbuka Mungu kwa njia nyingi ikiwemo nyimbo za Injili.

Comments/ Maoni

Recommended for you