Gallery

Maternity Photoshoot By Aloyson

By

on

Mpendwa mteja wetu ukiwa katika hali yeyote na ukapenda kuweka kumbukumbu ya muonekano wako wowote uwe wa kutoka shambani, katika furaha au hatua yeyote ya maisha yako sisi ni chaguo pekee litakalo kidhi haja yako.

Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuweka kumbukumbu za hatua za ukuaji wa mtoto hasa akiwa angali kwa mama yake kwani itakuwa ukumbusho pekee mtoto atastahili kuoneshwa namna mama yake alivyokuwa na taswira hiyo pindi hajazaliwa. Nawaalika wajawazito kutumia muda wao na wapenzi wao kuweka kumbukukmbu hii muhimu sana.


Mtandao wa ALOYSON.COM ikishirikiana na BONGOHOOD wanakupa wasaha wa mteja wao kufanyiwa au kuchukuliwa kumbukumbu zote muhimu na mahususi kama harusi, send off, birthdays, anniversaries, graduation, biashara, matangazo na matukio mengineyo katika picha mnato na mwendo kwa bei ndogo sana.

WASILIANA NASI: PIGA +255 755 103 054 | INSTAGRAM: @aloysonjr | FACEBOOK: @aloysonjr | TWITTER: @aloysonjr | YOUTUBE: @aloysontv

Comments/ Maoni

Recommended for you