Music

Music: Darassa – Hasara Roho | [ Utanitoa Roho OG] Download

By

on

Baada ya kuvuja ngoma ya DARASSA mashuhuri wa nyimbo iliyobamba kila kona za dunia ya “Muziki” aliyomshirikisha Ben Pol sasa Darassa ameamua kuachia rasmi ngoma ambayo ilipewa jina na kuwa maarufu kama UTANITOA ROHO, haikufahamika nani alivujisha kwani haifahamiki pia kama msanii huyo alifanya makusudi kupima upepo wake au laah..!

Mwenyewe alipofanya mahojiano na vyombo vya habari alikana kuachia, lkn sasa nyimbo imetoka rasmi kwa jina HASARA ROHO.

PAKUA MZIGO HAPA CHINI

HASARA ROHO

Comments/ Maoni

Recommended for you