General

NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMI

By

on

NIKOHUB TUNAFUTURISHA WATU 100 KILA SIKU KUANZIA LEO HADI SIKU KUMI
Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati kadri
siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku
hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa
wa kimaendeleo Duniani hasa kwa kurahisisha vyanja za
utendaji kazi katika biashara.
Dar es salaam Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine
msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tulio
uanzisha wa kiteknolojia “Nikohub”tumeanza mchakato wa
kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku kumi.
Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download Nikohub
kwenye Play Store katika simu yako. Kisha jiunge ili tuweze
kukuona kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu
100 watakao kula futari leo.
Ukifanikiwa ku-downloda tutumie SMS au piga 0765802457
tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko
uliko ni bure!

Comments/ Maoni

Recommended for you