Gallery

Mariam’s Photo Retouch by Aloyson

By

on

Aloyson anatambua thamani ya kila anayestahili kupendezeshwa ajapo kupata huduma zetu za picha katika ofisi zetu za BONGOHOOD. Hizi ni picha baadhi za Mariam

Gold like skin.

Muonekano wa urembo huongezwa kidogo na si kubadilishwa, tunaajivunia kuwa na wateja kama hawa wanaotambua umuhimu wetu na kufanya kazi nasi.


Mtandao wa ALOYSON.COM ikishirikiana na BONGOHOOD wanakupa wasaha wa mteja wao kufanyiwa au kuchukuliwa kumbukumbu zote muhimu na mahususi kama harusi, send off, birthdays, anniversaries, graduation, biashara, matangazo na matukio mengineyo katika picha mnato na mwendo kwa bei ndogo sana.

WASILIANA NASI: PIGA +255 755 103 054 | INSTAGRAM: @aloysonjr | FACEBOOK: @aloysonjr | TWITTER: @aloysonjr | YOUTUBE: @aloysontv

Comments/ Maoni

Recommended for you