Indoor Photoshoot With Sarah, Jenny & Mouriyn | @AloysonJr

By

on

Bongohood imejaribu kutoa mwanya kwa @kisura_sarah (on instagram) kujipa jitihada ya kujifunza mambo kadhaa likiwemo kufanya au kujishughulisha na kazi za MAKEUP, na hivi punde tutaonesha kazi baadhi za mwanadada huyo akiwaremba @jennyjagaxon (on instagram) na @mouriynstanley (on instagram) huu ni mwanzo tu.

Model: @jennyjagaxon (on instagram) | PHOTO BY @aloysonjr at Bongohoodstudio

Model: @jennyjagaxon (on instagram) | PHOTO BY @aloysonjr at Bongohoodstudio

Model: @mourynstanley (on instagram) | PHOTO BY @aloysonjr at Bongohoodstudio

Model: @kisura_sarah (on instagram) | PHOTO BY @aloysonjr at Bongohoodstudio

Model: @kisura_sarah (on instagram) | PHOTO BY @aloysonjr at Bongohoodstudio

Model: @jennyjagaxon (on instagram) | PHOTO BY @aloysonjr at Bongohoodstudio

Mtandao wa aloyson.com ikishirikiana na BONGOHOOD wanakupa wasaha wa mteja wao kufanyiwa au kuchukuliwa kumbukumbu zote muhimu na mahususi kama harusi, send off, birthdays, anniversaries, graduation, biashara, matangazo na matukio mengineyo katika picha mnato na mwendo kwa bei ndogo sana.

WASILIANA NASI: PIGA +255 755 103 054 | INSTAGRAM: @aloysonjr | FACEBOOK: @aloysonjr | TWITTER: @aloysonjr | YOUTUBE: @aloysontv

Comments/ Maoni