Video

VIDEO: Shilawadu Tour; Amber Lulu, Msami, Timbulo, Rachel Hawakuiacha Tabora Salama #AloysonTv

By

on

Shilawadu Tour ndani ya mkoa wa Tabora imeletwa na watangazaji wa kipindi cha SHILAWADU wa Clouds Media jana katika maadhimisho ya sikukuu ya Eid, budurdani hii ilisheheni shangwe nyingi kutoka kwa watangazaji wenyewe Soudy Brown na Kwisa Mzee mkavu na wasanii kama; Msami, Timbulo, Rachel, Ambalulu, Edu Boy, Bamuyu na wengine huku kwenye mashine Dj Feruuh akipagawisha onesho zima.

Hapa utashuhudia matukio ya usiku katika kiwanja cha Bwalo la polisi linalosimamiwa na Bw. Novatus na eneo linalosifika kwa amani haijawahi tokea.

VIDEO HII IMEKUJIA KWA HISANI YA BONGOHOOD

TUMA KWA MARAFIKI

Comments/ Maoni

Recommended for you