General

Shilawadu Tour Tabora; Msami, Timbulo, Rachel, Amber Lulu, Edu Boy, Bamuyu Watikisa Eid

By

on

Shilawadu Tour ndani ya mkoa wa Tabora imeletwa na watangazaji wa kipindi cha SHILAWADU wa Clouds Media jana katika maadhimisho ya sikukuu ya Eid, budurdani hii ilisheheni shangwe nyingi kutoka kwa watangazaji wenyewe Soudy Brown na Kwisa Mzee mkavu na wasanii kama; Msami, Timbulo, Rachel, Ambalulu, Edu Boy, Bamuyu na wengine huku kwenye mashine Dj Feruuh akipagawisha onesho zima.

Hapa utashuhudia matukio ya usiku katika kiwanja cha Bwalo la polisi linalosimamiwa na Bw. Novatus na eneo linalosifika kwa amani haijawahi tokea.

FUATILIA MATUKIO HAYA YA PICHA NA VIDEO ZITAWAJIA PUNDE

Edu Boy akifanya yake jukwaani na mashabiki zake katika usiku wa Shilawadu tour Tabora ndani ya kiwanja cha Bwalo la polisi.

Edu Boy

Kwisa mti mkavu ndani ya usiku wa Shilawadu tour Tabora ndani ya kiwanja cha Bwalo la polisi.

Amber Lulu akionesha umaridadi wake katika jukwaa la usiku wa Shilawadu tour Tabora ndani ya kiwanja cha Bwalo la polisi.

T Style Team wakiingia kwenye jukwaa la Shilawadu tour Tabora ndani ya kiwanja cha Bwalo la polisi.

Timbulo akitumbuiza katika onesho la Shilawadu tour Tabora ndani ya kiwanja cha Bwalo la polisi.

Timbulo na mashabiki wake

Mzee wa kazi kazini

Dada wa sauti laini Rachel akiwadia jukwaa la Shilawadu tour Tabora ndani ya kiwanja cha Bwalo la polisi.

Bamuyu Kijogoo akiwika jukwaani kama mzawa wa hapahapa Tabora, apokelewa vyema

Dj Feruuh akiwachanganya vichwa mashabiki waliohudhuria onesho la usiku wa Shilawadu tour Tabora ndani ya kiwanja cha Bwalo la polisi.

Kazi nzima ilifungwa vyema na mzee wa kazi Msami tena kwa shangwe za ajabu

Wadau wa aloyson.com

Wadau wa aloyson.com

Wadau wa aloyson.com

Picha zote zimepigwa na Aloyson (IG: aloysonjr) kutoka BONGOHOOD STUDIO

 

Comments/ Maoni

Recommended for you