Gallery

TPSC Graduation Coverage By Aloyson

By

on

Hii ni mahafari ya wahitimu mbalimbali katika vyuo na taaluma mbalimbali za wanavyuo wa Utumishi wa Umma Tanzania (Tanzania Public Service Colleges – TPSC) ya mwaka 2016/17 iliyofanyika tarehe 31 Machi, 2017 Tabora

maandamano ya wanataaluma kuelekea ukumbini.

Viongozi mbalimbali wa serikali ya nchi na vyuo vya utumishi wakisubiri kuongoza maandamano ya wanataaluma.

Hongereni sana kwa hatua mliyoifikia


Mtandao wa ALOYSON.COM ikishirikiana na BONGOHOOD wanakupa wasaha wa mteja wao kufanyiwa au kuchukuliwa kumbukumbu zote muhimu na mahususi kama harusi, send off, birthdays, anniversaries, graduation, biashara, matangazo na matukio mengineyo katika picha mnato na mwendo kwa bei ndogo sana.

WASILIANA NASI: PIGA +255 755 103 054 | INSTAGRAM: @aloysonjr | FACEBOOK: @aloysonjr | TWITTER: @aloysonjr | YOUTUBE: @aloysontv

Comments/ Maoni

Recommended for you