Video

Video: Amosoul – Sio Fungu Langu [Watch Here]

By

on

Amosoul (zamani Single Name) ambaye kwa sasa yupo THT (Tanzania House of Talent) na msanii anayefanya vyema hivi sasa kwa wimbo wake wa SIO FUNGU LANGU ametusogezea ladha ya kichupa. Kitazame hapa chini na sambaza kwa marafiki.

Sio Fungu Langu imezalishwa na Nesho Dallas na kuongozwa na Mour’ Masoud.

Comments/ Maoni

Recommended for you