Video

Video (Gospel): TAZAMA By Global Mission Singers.

By

on

Muongozaji na mzalishaji wa picha mwendo ndg, Milos wa Blueprint Media Production anatusogezea upako wa kiinjili ulioimbwa na Global Mission Singers wakituletea kibao kizuri kiitwacho TAZAMA, nakusihii kumkumbuka Mungu kwa njia nyingi ikiwemo nyimbo za Injili.

 

Comments/ Maoni

Recommended for you