Video

Video: Harmonize – Happy Birthday | Download

By

on

Msanii wa WCB Harmonize ambaye kwa sasa amekuwa akivuma na video yenye gumzo Tanzania na Afrika ya SHOW ME aliyomshirikisha Rich Mavoko sasa ni muda wa kupata ladha ya kichupa cha HAPPY BIRHTDAY. Kwenye video hii utapata kumwona Romy Jones pia.

Itazame hapa chini sasa.

Kumbuka ku-share na marafiki

Comments/ Maoni

Recommended for you