Video

Video: TID x Tofy – Woman | Watch/Download

By

on

TID mnyama baada ya ukimya wa muda nguli huyu aliyetamba na vibao kama Asha, Zeze na vingine vingi sasa anaonekana kubadilika sana kisanaa, kaja kinyama zaidi, hapo nyuma kidogo aliachia ngoma na Joh Makini CONFIDENCE. Kwa sasa ameachia kichupa cha WOMAN akimshirikisha Tofy

Comments/ Maoni

Recommended for you